Mkuu, sometimes inabidi wasifuate pass mark hiyo ya 50% coz hapatatosha mzee. Kwa mfano waliofanya written wawe 200 hafu kati yao 175 wakapata above 50% ka usikute hiyo nafasi inahitaji watu 4 tu, sidhani kama watakua watu makini kuwaita wote hao 175 kwenye interview mzee. Kwahiyo sometimes inabidi waipandishe juu tu pass mark.