Pasingefichwa, tusingetamani kiasi hiki

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,066
Niliangalia documentary moja ya watupori wa misitu ya Amazon(Bushmen of amazon forests) nilivutiwa na kitu kimoja hawavai Nguo mwili uko wazimu kwa raha zake sanasana ni watu wazima kabisa ndio wanavaa vibwaya lakini mabinti mpaka miaka 26 hv ni free to air, vifua vimesimama dede sita kasoro vititi vimechomoza kama miba, vishuzi vimebinuka hadi raha
Lakini cha ajabu hawatamaniani kabisa na ngono wanaifanya kwa maana ya kupata watoto tu. Utaona mabinti walopevuka na wakaka wanalala pamoja nikasema Loh..!ingekuwa huku kwetu cjui ingekuwaje wallah..!kuwa huru kuchangia mtazamo wako bila woga wala unafiki
 
Kwa hiyo unatushauri na sisi tuanze kutembea u.c.h.I??
 
Hivi kwani hamu ya kufanya mapenzi huja kwasababu maeneo yamefichwa ama huja kwasababu ni effect ya stimulus??
manake hata wewe na mm tunaweza kufungiwa chumban tusitamani kufanya ngono so long as hatuja stimulate hormones zetu.

kwa hao ma bush men yawezekana pia aina ya vyakula vyao vikawa ni vile vinavyopunguza kabisa hamu ya kufanya mapenzi/tendo la ndoa/ngono.

ingekuwa ni kweli usemayo basi ungekuta watu wanaojistiri ndio wanaotongozwa zaid kuliko wale wanaosemekana wamevaa nusu uchi. manake vikionekana basi havina hamu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…