Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Nliwahi kujibu hivi mahaliTangu kitambo kidogo,umekuwa ukimnadi Edward Ngoyai Lowassa na kutuaminisha kuwa ndiye chaguo sahihi la CCM na nchi kwa ujumla kwa nafasi ya Urais 2015. Na hivi karibuni,hasa leo,umechomoza kama mpiga zumari wa Zitto Zuberi Kabwe kama chaguo sahihi la CHADEMA katika Urais 2015.
Hali ya kisiasa nchini Tanzania iliyopo na itakayofika 2015 inaonesha dhahiri kuwa mgombea wa ima CHADEMA au CCM ndiye atakayeibuka kidedea kama Rais wa tano wa Tanzania.
Ikiwa Lowassa atasimamishwa na CCM na Zitto atasimamishwa na CHADEMA,unadhani Tanzania itapata Rais inayomhitaji kuelekea mafanikio inayoyataka? Nini kinachokuaminisha kuwa hawa ni bora? Karibu Pasco,karibuni wana-JF wote tujadili
cc Pasco
Japo mimi namfagilia sana EL, ila nimegundua "the chosen one" ni mwingine!.
Harakati zote za EL kuisaka Ikulu ni works of the "King Maker" kumtumia EL kama "the pace maker" wa 2015 presidential race just to pave the way for the "would be king", but very unfortunately, he is not "the chosen one"!.
Mkuu Petro Mselewa, ushahidi upo, 100% sure na utawekwa wazi with time!, hivyo nakuomba usiulize zaidi, "only time will tell!".Majibu yako yamekaa kimantiki sana....yanahitaji elimu kuyaelewa. Lakini,nakushukuru kwa majibu yako.Nilivyokuelewa Mkuu Pasco ni kuwa Zitto na Lowassa si chaguo la vyama vyao.Una ushidi juu ya hili?
Nliwahi kujibu hivi mahali
Inatosha!.
- EL ndie the best that CCM has!. ZZK ndie the best that Chadema has na Jussa ndie the best tha CUF has for ZNZ.
- Kuwa the best is one thing, kusimamishwa na chama is another thing!. Ili usimamishwe na chama, "you have to be the "choosen one", as of now, neither EL nor ZZK is the "choosen one".
- 2010, kwenye CCM, JK alisimama na Dr. Salim na Prof. Mwandosya. The best was Dr. Salim, akifuatiwa na Prof. Mwandosya, JK was the least na ndie aliyechaguliwa kusimama kwenye CCM simply because he was "the choosen one".
- Na kati ya aliyosimama nao kuombea urais, JK was not the best ila ndie yeye aliyechaguliwa!.
- Sio kweli kuwa siku zote "fast runners always win the race", or the brightest students win the exams!, Vivyo hivyo kwa EL na ZZK, they are the best but ...
Pasco.
Mkuu Ndalwa, kutoeleweka points zangu ni jambo moja na kutokuwa na msimamo ni jingine!.Pasco siku zote hueleweki points zako,Hunaga msimamo wowote siku zote.
Majibu yako yamekaa kimantiki sana....yanahitaji elimu kuyaelewa. Lakini,nakushukuru kwa majibu yako.Nilivyokuelewa Mkuu Pasco ni kuwa Zitto na Lowassa si chaguo la vyama vyao.Una ushidi juu ya hili?
Kari, thanks. Noted.Kwenye RED Mkuu ni 2005!!
Mi siku zote najua Pasco ni zzk kwa id fake kwa jinsi anavyotuvuruga humu jf na misimamo yake!
Nliwahi kujibu hivi mahali
Inatosha!.
- EL ndie the best that CCM has!. ZZK ndie the best that Chadema has na Jussa ndie the best tha CUF has for ZNZ.
- Kuwa the best is one thing, kusimamishwa na chama is another thing!. Ili usimamishwe na chama, "you have to be the "choosen one", as of now, neither EL nor ZZK is the "choosen one".
- 2010, kwenye CCM, JK alisimama na Dr. Salim na Prof. Mwandosya. The best was Dr. Salim, akifuatiwa na Prof. Mwandosya, JK was the least na ndie aliyechaguliwa kusimama kwenye CCM simply because he was "the choosen one".
- Na kati ya aliyosimama nao kuombea urais, JK was not the best ila ndie yeye aliyechaguliwa!.
- Sio kweli kuwa siku zote "fast runners always win the race", or the brightest students win the exams!, Vivyo hivyo kwa EL na ZZK, they are the best but ...
Pasco.
Nliwahi kujibu hivi mahali
Inatosha!.
- EL ndie the best that CCM has!. ZZK ndie the best that Chadema has na Jussa ndie the best tha CUF has for ZNZ.
- Kuwa the best is one thing, kusimamishwa na chama is another thing!. Ili usimamishwe na chama, "you have to be the "choosen one", as of now, neither EL nor ZZK is the "choosen one".
- 2010, kwenye CCM, JK alisimama na Dr. Salim na Prof. Mwandosya. The best was Dr. Salim, akifuatiwa na Prof. Mwandosya, JK was the least na ndie aliyechaguliwa kusimama kwenye CCM simply because he was "the choosen one".
- Na kati ya aliyosimama nao kuombea urais, JK was not the best ila ndie yeye aliyechaguliwa!.
- Sio kweli kuwa siku zote "fast runners always win the race", or the brightest students win the exams!, Vivyo hivyo kwa EL na ZZK, they are the best but ...
Pasco.
ndio mwenyewe mkuu.