Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
msalimie shemeji yetu....mwambie a take care asije akaunguzs pilauNaomba kuwatakia Pasaka njema wanachama na wageni wote wa JF.
Ombi langu tuitumie vizuri siku hii, tuepuke matumizi ya lugha za kuuzi na matusi, ili hatimaye tusisababishe majibizano mabaya kwa leo.
Its a breaktime day!!
Karibuni tutakiane salam za pasaka