Part2.My Impressions on JF Mods

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Nilidhamiria kuandika series kuhusu kazi na majukumu ya Mods wa JF na umuhimu wao
kwenye online forum kama hii yenye wanachama zaidi ya laki tatu.
Madhumuni ni kutufanya tu-appreciate kazi zao na kuwapa ushirikiano.
Nilipoanza sehemu ya kwanza wiki iliyopita, baadhi ya komenti za wadau zilinionesha
indiketa kwamba kuna kitu kibaya kiko mbele iwapo nitaendelea. Kitu hicho nilikihisi tangu mwanzo
kwa kutoa tahadhari. Tahadhari hiyo hata hivyo haikuzingatiwa na mimi kwa kuzingatia
bango la Invisible lisemalo: ficha upumbavu onesha hekima na busara, nimeamua kutoendelea na mada hii ambayo
itageuzwa kuwa jukwaa la kuwashambulia mods kwa maneno makali (hasa wale wadau waliopata ban).
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaghrrrr aya ya ya ya ka ka ka ka ka shit.
Mi nilijua series inaendelea,lakini po.
Ila ile ya jumanne usiiahirishe kama hii SHIEKA.
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaghrrrr aya ya ya ya ka ka ka ka ka shit.
Mi nilijua series inaendelea,lakini po.
Ila ile ya jumanne usiiahirishe kama hii SHIEKA.
Hapana Idd Ninga, ile ya j4 haina mikwara yoyote ipo mtamboni tayari ni kurushwa tu siku hiyo.Isipokuwa kuna mdau mmoja namheshimu sana kasema atanishtaki kwa baba kama nitamwandika.Imebidi niwe mpole na kumwondoa kwenye orodha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…