ni kweli kazi ni ngumu kwa sasa ila mi nakushauri usikate tamaa endelea kutumu barua ikiwezekana fika ofisi hadi ofisi face to face omba hata kujitolea, halafu sales and marketing huwa wako mahiri sana kwa kuongea kwa hiyo jitahidi kujieleza vizuri utapata tu rafiki yangu.
best wishes!