PART TIME JOB

Cutelisa kama lilivyo jina lako utakua cute uwe makini watu sio wazuri..toa namba acha email
ha ha ha muache ajaribu bahati yake,wengine wamefanikiwa kutokana na muonekano wao/kupitia mahusiano.Inawezekana nayeye ameingia kimkakati ili afanikishe anachokitafuta.Kwa hali ya sasa kupata nafasi kwa 'reputable company' kwa fani hizi za kawaida ambazo sio 'technical' ni ngumu sana.
 
Cutelisa kama lilivyo jina lako utakua cute uwe makini watu sio wazuri..toa namba acha email
Hamna, hii email tangu Nipo form one mambo ya AKA na nini, utoto Ule but Ndo email ambayo naitumia siwezi kubadilisha. Nina email nyingine but actually hata situmii na haijazoeleka
 
Yeah dhana hiyo ipo but kiukweli I don't depend on my appearance, Kama ingekuwa Hivyo ningeenda kwenye Viwanja vya watu ambao wanahayo mambo kwani navijua. Nilifikiri Huku kuna watu ambao kidogo Wapo serious Ndo maana hata nimeweza kutangaza kitu nachohitaji.
 
Watu walioSerious wapo na ambao hawapo serious pia wapo, nadhani umeshawaona wa aina zote hizo hapa kwenye uzi wako.
 
Ok kila kitu ni kujaribu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…