Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ulifatilia Sakata lake la had kuongeza mkataba Uliopita?.. Unajua ni ngv gani ilitumika had kubadilisha mawazo yake wkt alikua anaenda Madrid.. Unajua kwmb Marais wa nchi zote 2 Qatar na France walitumika kumshawishi yy na mama yake(ikiweno ya kumfanya yy kua kama ndo mmiliki wa club maamuz yote ashirikishwe?) ilmrad tu abak.Unasemaje wamemdanganya wakati ni timu ya kwao? Yeye kazaliwa Paris...na bado analipwa hela nyingi kuliko wote
Mnajua kua lens akiwaga kwao hafungwagi kizembe eeeh PSG mbane kengele izo le0
Soma vzr utajua niko upande ganiUnateseka ukiwa wapi na psg yako
This thread needs regular updation from moderators or a thread stater. The information which are here they are currently outdated.Jina: Paris Saint-Germain Football Club.
P-A-R-I-S.: Five letters that resonate around the world. Historically incomparable, culturally unique, the City of Light shines in the sporting world too in the colours red and blue
Kuanzishwa: 12 August 1970
Uwanja: Parc des Princes , unaingiza watu 47,929.
Makombe:
Washindi wa Ligue 1 mara 6.
Washindi wa Ligue 2 mara 1.
Washindi wa Coupe de France mara 11.
Washindi wa Coupe de la Lige mara 7.
Washindi mara 7 wa Trophee des Champions.
Washindi mara 1 wa UEFA Cup Winner's Cup.
Washindi mara 1 wa UEFA intertoto Cup.
Le Classique: Mpinzani wa jadi kwa PSG katika Ligue 1 ni Olympique de Marseille katika mechi maarufu kama Le Classique
Tangu 2011, PSG imeshinda jumla ya vikombe 16, huku Zlatan Ibrahimovic aliehamia msimu wa 2012-2016 akifunga jumla ya magoli 156. Project mpya ya PSG kuanzia msimu wa 2017 ni MCN.
Mbappe, Cavani na Neymoney (Neymar) wapo katika kutengeneza "the Trident of their own" (MCN). Kwa usajili walioufanya msimu huu wa 2017/2018, PSG itakuwa ni miongoni mwa timu ambazo zitatazamwa kwa ukaribu sana katika Champions League na katika Ligue 1. Kwa kuwa bado timu hii haina mashabiki wa kutosha hapa Tz, si vibaya wale "plastic Fans" wanaohamia timu kutokana na majina ya wachezaji kutumia uzi huu kuwafuatilia kwa ukaribu MCN. Karibuni
Moderator
T
He wont leave psg until he wins a trophyWhat had gotten over Mbappe when he was needed by Madrid to refuse to sign a deal, I don't know. But, He is deserving to be in the Elites clubs by now,The teams like Madrid or Barcelona and not PSG.
Aisidie kucheza robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya PSGMessi Ameisaidia Psg leo kuondoka na Alama tatu muhimu,Wengi walidhami psg amesha poteana .Hii ndo maana halisi ya kua mchezaji mkibwa [emoji91] kama una bisha we bisha tu ila katizame hili bao lake kisha njoo..[emoji847][emoji16]
Highlights ya mechi nzima nimekuekea hapa[emoji116]