Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,854 Jan 2, 2017 #1 PANYA AMEPEWA JINA. 1)Panya amepewa jina. Msimwone wamsema. Aachi pewa lawama. Vibaya kumsakama. 2)Panya amepewa jina. Subirini akitoka. Jina le litapanuka. Na wao watapasuka. 3)panya amepewa jina. Amefungiwa tunduni. Alijiweka mwibani. Abandikwe mtaani 4)Panya amepewa jina. Msidhani mwamtesa. Kijanja amewanasa. Msipojua kwa sasa. 5)Panya amepewa jina. Wala yeye hakutaka. Japo amekurupuka. Mfupa usiolika. 6)Panya amepewa jina. Alilowaza zamani. Akitembea jini. Na kukaa vijiweni. 7)Panya amepewa jina. Kwa miguvu ya mabavu. Na akili za wavivu. Huwinda tembo kwa nyavu. 8)Panya amepewa jina. Kesho mtaja mwelewa. Mtawa mmechelewa. Na maovu mkilewa. 9)Panya amepewa jina. Siasa nguo chakavu. Hupambwa na ndizi mbivu. Kumbe ndani ni mafuvu. 10)Panya amepewa jina. Toka Moshi na Arusha. Juzi amewaangusha. Leo awa washa washa. Shairi=PANYA AMEPEWA JINA. Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha. +255624010160 iddyallyninga@gmail.com
PANYA AMEPEWA JINA. 1)Panya amepewa jina. Msimwone wamsema. Aachi pewa lawama. Vibaya kumsakama. 2)Panya amepewa jina. Subirini akitoka. Jina le litapanuka. Na wao watapasuka. 3)panya amepewa jina. Amefungiwa tunduni. Alijiweka mwibani. Abandikwe mtaani 4)Panya amepewa jina. Msidhani mwamtesa. Kijanja amewanasa. Msipojua kwa sasa. 5)Panya amepewa jina. Wala yeye hakutaka. Japo amekurupuka. Mfupa usiolika. 6)Panya amepewa jina. Alilowaza zamani. Akitembea jini. Na kukaa vijiweni. 7)Panya amepewa jina. Kwa miguvu ya mabavu. Na akili za wavivu. Huwinda tembo kwa nyavu. 8)Panya amepewa jina. Kesho mtaja mwelewa. Mtawa mmechelewa. Na maovu mkilewa. 9)Panya amepewa jina. Siasa nguo chakavu. Hupambwa na ndizi mbivu. Kumbe ndani ni mafuvu. 10)Panya amepewa jina. Toka Moshi na Arusha. Juzi amewaangusha. Leo awa washa washa. Shairi=PANYA AMEPEWA JINA. Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha. +255624010160 iddyallyninga@gmail.com
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,857 Jan 2, 2017 #2 Panya Joni
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,510 Reaction score 88,977 Jan 2, 2017 #3 Hupambwa na ndizi mbivu 😀 no escape ikiwa imeiva au haijaiva inasadiki rangi ileee
Samandarojk Member Joined Sep 25, 2016 Posts 55 Reaction score 24 Jan 2, 2017 #4 Atakuwa panya road huyo
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,177 Reaction score 25,512 Jan 2, 2017 #5 Mmmh....
julius jonh Member Joined Jan 3, 2017 Posts 5 Reaction score 2 Jan 3, 2017 #6 Uyopanya amepewa jina Ila kwa paka atakuwa nyama
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,160 Reaction score 6,303 Jan 7, 2017 #7 panyaa?? picha tafadhali,