Pantech cross over inafreeze

Shaffin Simbamwene

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2008
Posts
2,156
Reaction score
1,539
Wakuu nina simu aina ya pantech cross over toka At&t ilikuwa inafanya kazi vizuri tu ila kuanzia jana imeanza kufreeze yaani ukiwasha inatokea ile logo ya pantech afu inaganda hapo haiendelei hata ukijaribu kuizima haikubali hadi uchomoe betri. Wajuzi wa hivi vidude vya android naombeni msaada kwa hili.
 

Attachments

  • IMG-20140612-00005.jpg
    242.1 KB · Views: 78

Mkuu hapa umepotea njia maana uwezi pata msaada kabisa, kama hicho kidude uliletewa zawadi kitupie tu mvunguni then jipangee kununua simu zinazotumiwa na wengi ili iwe rahisi kupata msaada.
 
Mkuu hapa umepotea njia maana uwezi pata msaada kabisa, kama hicho kidude uliletewa zawadi kitupie tu mvunguni then jipangee kununua simu zinazotumiwa na wengi ili iwe rahisi kupata msaada.
wajuzi kina @dr phone, chief-mkwawa CALVIN power na wengineo watakuja kunisaidia so sijakata tamaa bado



Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…