Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Feb 12, 2015 #21 Watu8 said: andaa kipande cha papa na mbilimbi kuporomosha mlima kama huo... Click to expand... Papa tena?Hapo nipate mlenda na sangara wangu na pilipili mbona sichukui hata nusu saa umeisha
Watu8 said: andaa kipande cha papa na mbilimbi kuporomosha mlima kama huo... Click to expand... Papa tena?Hapo nipate mlenda na sangara wangu na pilipili mbona sichukui hata nusu saa umeisha
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 12, 2015 Thread starter #22 Shy land said: huwezi kuwa na nguvu kwa kula mataputapu ya jiji la dar. Click to expand... truly said by you
Shy land said: huwezi kuwa na nguvu kwa kula mataputapu ya jiji la dar. Click to expand... truly said by you
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 12, 2015 Thread starter #23 Honey Faith said: Papa tena?Hapo nipate mlenda na sangara wangu na pilipili mbona sichukui hata nusu saa umeisha Click to expand... bila kusahau mambo yetu yale
Honey Faith said: Papa tena?Hapo nipate mlenda na sangara wangu na pilipili mbona sichukui hata nusu saa umeisha Click to expand... bila kusahau mambo yetu yale
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Feb 12, 2015 #24 Sera yao ni nzuri kwani kwenye mboga mgao umefanyika mapema kila mtu na bakuli lake!!!
D demulikuy JF-Expert Member Joined Sep 27, 2011 Posts 1,125 Reaction score 1,047 Feb 12, 2015 #25 Amavubi hapo lazima ni Usukumani, naona kama ziwa Victoria kwa mbali