sio majasho ni ugali mkuu, kama hujui kupika ugali uje nikupe darsa tehe tehe
View attachment 226220
Tayari kwa kuelekea shamba
mabishi au mabichi?
Nina maanisha kuwa kama ugali huo unatokana juhudi na nguvu zao...basi ni halali kwao...
huwezi kuwa na nguvu kwa kula mataputapu ya jiji la dar.
View attachment 226220
Tayari kwa kuelekea shamba
Huu ni ugali wa muhogo?...
niliji=ua tu Watu8 hutokosa neno hapo, maana we mkaleeeee
Nimetamani kama ningekuwa mmoja wa hao walaji maana naona ugali wa muhogo