Junius JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 3,180 Reaction score 149 Oct 6, 2010 #2 Ukitaka kujuwa kama watanganyika akili zao zinafanya kazi vizuri usome vizuri mchoro huo wa Fede, halafu tazama wanavyojazana kwenye mikutano ya CCM kama hawana ziki vile, utapata jawabu huyo mama anaelekea kupanda usafiri upi!!
Ukitaka kujuwa kama watanganyika akili zao zinafanya kazi vizuri usome vizuri mchoro huo wa Fede, halafu tazama wanavyojazana kwenye mikutano ya CCM kama hawana ziki vile, utapata jawabu huyo mama anaelekea kupanda usafiri upi!!