Panasonic LUMIX DMC-TZ20/DMC-ZS10 14.1 MP Digital Camera - Black[/h]
Nauza Camera ya Panasonic DMC-TZ20E ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Imetumika uingereza lakini imeshafika Dar es salaam.Inauzwa pamoja na SD card ya 4GB pamoja na battery 2 na charger.Bei ni shs 400,000 na kwa mawasiliano piga namba hii 0766 915 299.