Panasonic LUMIX DMC-TZ20/DMC-ZS10 14.1 MP Digital Camera - Black
Nauza Camera ya Panasonic DMC-TZ20E ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Imetumika uingereza lakini imeshafika Dar es salaam.Hii ni moja ya camera ambayo inasifika kwa kutoa picha nzuri na inaweza kurekodi full HD video.Na inayo sifa ya kurekodi video na ukaitumia zoom kwa wakati mmoja na ni kitu ambacho hupati ktk camera nyingine.Inauzwa pamoja na SD card ya 4GB pamoja na battery 2 na charger.Bei ni shs 350,000 na kwa mawasiliano piga namba hii 0766 915 299.