Pelham 1 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 548 Reaction score 100 Oct 30, 2012 #1 Nauza LCD flat screen Tv Aina ni ya TCL inch 24 Zina mezi 2 tangia nimezinunua. Mawasiliano: 0714-074040 0767-074040 0785-074040
Nauza LCD flat screen Tv Aina ni ya TCL inch 24 Zina mezi 2 tangia nimezinunua. Mawasiliano: 0714-074040 0767-074040 0785-074040
TZ biashara JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 523 Reaction score 107 Oct 30, 2012 #2 Ukitaka kuvutia tangazo lako basi kichwa cha habari ukibadilishe na uweke... 1- "LCD Flat screen 24" inauzwa" 2- Weka bei 3- Picha itavutia zaidi 4-Jina la kampuni muhimu
Ukitaka kuvutia tangazo lako basi kichwa cha habari ukibadilishe na uweke... 1- "LCD Flat screen 24" inauzwa" 2- Weka bei 3- Picha itavutia zaidi 4-Jina la kampuni muhimu
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,882 Oct 30, 2012 #3 Kitu used, Kula laki (100,000/= ) dogo.
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,902 Reaction score 4,444 Oct 31, 2012 #4 georgeallen said: Kitu used, Kula laki (100,000/= ) dogo. Click to expand... mpe 55,000/= hiyo kitu sio murua sana kama samsung au LG
georgeallen said: Kitu used, Kula laki (100,000/= ) dogo. Click to expand... mpe 55,000/= hiyo kitu sio murua sana kama samsung au LG
Buggy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 236 Reaction score 61 Oct 31, 2012 #5 Mie nakupa elfu 20! Kitu used saana hicho
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,215 Reaction score 18,370 Oct 31, 2012 #6 Hebu acheni kejeli kwenye biashara ya mtu,Bei gani mkuu? Nahitaji haraka
Parata JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 3,090 Reaction score 692 Oct 31, 2012 #7 hamnunui mnapga domo t inch 24 na lak huo c utan