Nakufuata kiongoziNaweza kukupa connection toka manufacturers toka nje ukiwa interested tutajadili zaidi
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Nikusahihishe kidogo. Pampers ni Diaper. Diaper ni jina la jumla la hayo ''matambara'' yanayotumia kujifunga/kufunga watoto na pampers ni jina la kibiashara.Nakufuata kiongozi
Kuna hizi mpya wanaita pants diapers,source kutoka kwa manufacturer ziko size tatu from small to large kwa rate ya 0.90usd per pack zinazokaa 9,8 na 7 respectively na size.hiyo bei ni fob shekh ,nimeattach sample .Wapendwa nahitaji kufanya biashara ya bidhaa nilizotaja hapo kwenye title huku mkoani kwa jumla na rejareja...
Msaada ninaohitaji ni kupata supplier, nimejaribu kuzunguka kkoo lkn kila ninakoelekezwa nakutana na bei za rejareja ambazo ndizo wanazouzia madukani, nimepata ukakasi sana kuassemble mzigo imebidi nipause kwanza kidogo nikijitafakari.
Kwa anaefahamu reliable supplier wa hizi mambo naomba connection wakuu nikapambane kianaume.
Kila kitu tayar nimekwamia hapo tuu
fob ndio Nini? Tunajifunza Mkuu.Kuna hizi mpya wanaita pants diapers,source kutoka kwa manufacturer ziko size tatu from small to large kwa rate ya 0.90usd per pack zinazokaa 9,8 na 7 respectively na size.hiyo bei ni fob shekh ,nimeattach sample .View attachment 1935939
Hiyo ni bei ambayo inahusisha pamoja na gharama za usafirishaji mpaka nchini kwako kabla hujakutana na kimeo cha TRA.fob ndio Nini? Tunajifunza Mkuu.