Anatibu kwa kutumia nini mkuu, na ninaomba kuelekezwa ilipo hiyo hospital, maana nimeenda muhimbili wakawa wanajaribu kunitoa na ncha fulani hivi ya plastic iliyochongoka, kwa kweli walizidi kuniumiza na pamba hawakuitoa wakidai iko mbali sana, wakaniambia niende alhamis kwenye clinic yao, lakini naona siwezi kuvumilia mpaka alhamis maana sikio linauma sana,