This is the big blow over Palestinian authority, huyu jamaa ni expert sana kwa mambo ya wapalestina na amekuwa kwenye position tangu enzi za hayati Yasser Arafat, ni makini mno over Palestinian internal/foreign affairs. na ameplay the great role katika kuleta mapatano ya amani na Israel.
Its a blow kwa wapalestina.