ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Unbeaten hadi sasa...ktk ligi na sinunui ushindi huko kimataifa utatuona mwakani tukitetemasikatai mawazo yako ila naomba nijibu timu yako iko kundi gani huko shirikisho
Non-sense... Ulishaona mtu anakuwa mnyonge kwake,? Labda uto dhidi ya Rivers.Jana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na ilivyo kwa simba kutumia nguvu kubwa za nje ya uwanja hasa wakiwa kwa mkapa na hili tuliliongea hata kwenye mechi ya mwisho ya simba ambapo mwamuzi alitoka chini ya ulinzi wa wana usalama
Janja ya Simba kuwatumia waamuzi na kupanga mchezo na timu pinzani ili kushinda jana ilikua mwisho,yale matokeo tata ya upendeleo wa wazi wazi jana hayakuwepo kabisa,nakumbuka hata zile game za zanzibar simba alicheza kwa taabu sana
La msingi hapa Simba acheni inyeshe ili mjue panapovuja!
Uchawi haupandi ndege😂😂Jana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na ilivyo kwa simba kutumia nguvu kubwa za nje ya uwanja hasa wakiwa kwa mkapa na hili tuliliongea hata kwenye mechi ya mwisho ya simba ambapo mwamuzi alitoka chini ya ulinzi wa wana usalama
Janja ya Simba kuwatumia waamuzi na kupanga mchezo na timu pinzani ili kushinda jana ilikua mwisho,yale matokeo tata ya upendeleo wa wazi wazi jana hayakuwepo kabisa,nakumbuka hata zile game za zanzibar simba alicheza kwa taabu sana
La msingi hapa Simba acheni inyeshe ili mjue panapovuja!
Nyani anabwekaSiku zote tunajua Makolo hawana Timu.. Timu ya Bora Tz ni Yanga tu.. hao wengine wote ni Makolos tu kama Makolos wengine..
Piga nguruwe hzo
Akikujibu naomba unitagNyie ambao hamtumii ujanja mlifika hatua gani na campaign yenu ya THE RETURN OF CHAMPIONS.
Kweli wewe ni Shombe la Kisomali.Umetumia vigezo gani kupima huo ubora??.Siku zote tunajua Makolo hawana Timu.. Timu ya Bora Tz ni Yanga tu.. hao wengine wote ni Makolos tu kama Makolos wengine..
Piga nguruwe hzo
Umempiga msumari wa moto.UNACHOTAKIWA KUJUA NI KWAMBA BADO SIMBA ANA NAFASI YA KUVUKA NA KWA TABIA ZAKE KWA MKAPA NI KAMA AMESHAVUKA. ILA USISAHAU UNAWEZA TWAA UBINGWA MWAKA HUU. HICHO KITAKUWA NI KIPINDI CHAKO CHA KUJADILIWA TATIZO LA WATANZANIA MWENYE KANSA HUWA NA TABIA YA KUMCHEKA MWENYE UNYAFUZI.
Mimi msemaji Mkuu wa MAKOLO kwa niaba ya mashabiki wezangu wote wa MAKOLO tunataka kombe wala si hatua za uchezaji...[emoji87]Nyie ambao hamtumii ujanja mlifika hatua gani na campaign yenu ya THE RETURN OF CHAMPIONS.
Huyu [emoji230][emoji230] fc ninayomjua au unafikili kule kimataifa ww ng'ombe unaweza mfunga nani unaichake Simba tutakuona msimu ujao ukapoishia hizi nguvu za soda unafikili kule Kuna kmc sio [emoji16][emoji16] ww peleka ung'ombe uone Moto wakeUnbeaten hadi sasa...ktk ligi na sinunui ushindi huko kimataifa utatuona mwakani tukitetema
Nyie ndio mliwapa corona wachezaji wa Rivers utd na bado mlipigwa nje ndaniJana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na ilivyo kwa simba kutumia nguvu kubwa za nje ya uwanja hasa wakiwa kwa mkapa na hili tuliliongea hata kwenye mechi ya mwisho ya simba ambapo mwamuzi alitoka chini ya ulinzi wa wana usalama