Pakua hapa alternative nzuri ya MOBDRO app

Mbona naona imetengenezwa special kwa android? HIVYO KUTOKUKUBALI KWENYE PC TUNAZOTUMIA WINDOW?
 
Nzuri ila Haijaifikia Mobdro ina channel nyingi sana alternative Sky Sport sometis wajanja sana mda wa mpira wanaweza kublock channel zikarudi naada ya Game lakini mobdro Unaweza kuangalia kwenye Bein Sport, Cannal Futibol espaniola hii haijawahi kuzingua.
 
Yap n kwel ila nayo ipo vzr sana hasa ukiplay kwnye MX player
 
Mkuu kwa simu yangu naona hii ipo poa zaidi maana mobdro inatumia nguvu sana kwenye kustream yani nikiplay inastack sana lakini hii ni nyepesi sana tena wala haistack ukiplay kweny mx player
 
Sasa utajuaje kuwa mpira unaoneshwa channel ipi? Naona channel nyingi sana hapa baada ya kudown load.
 
ta
tatizo la kuganda ganda ni network au app yenyewe? maana walipofanya updates zao ndipo ilianza kusumbua.

nasema hivyo kwa sababu kwa network ileile nikistream live kutoka YouTube haigandi gandi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…