R rasachri Senior Member Joined Apr 8, 2011 Posts 145 Reaction score 35 Nov 28, 2018 #1 Habari wanajukwaa? Gari aina ya Mitsubishi Pajero Mini ya mwaka 1999 inauzwa. Cc: 650 (low fuel consumption) Km: 122,000 Bei: 5,800,000 (Maongezi yapo kwa mteja aliye serious) Gari hii imeendeshwa na mwanamke, imetunzwa vizuri ndani na nje. Options zote zinafanya kazi vizuri. Engine iko vizuri pamoja na gia box yake. Tairi ni mpya. Kwa mawasiliano zaidi piga 0754455865. Gari inapatikana Kigamboni- Dar es Salaam
Habari wanajukwaa? Gari aina ya Mitsubishi Pajero Mini ya mwaka 1999 inauzwa. Cc: 650 (low fuel consumption) Km: 122,000 Bei: 5,800,000 (Maongezi yapo kwa mteja aliye serious) Gari hii imeendeshwa na mwanamke, imetunzwa vizuri ndani na nje. Options zote zinafanya kazi vizuri. Engine iko vizuri pamoja na gia box yake. Tairi ni mpya. Kwa mawasiliano zaidi piga 0754455865. Gari inapatikana Kigamboni- Dar es Salaam
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,797 Reaction score 29,425 Nov 28, 2018 #2 gari ni gari mkuu, kwani ikiendeshwa Na mwanamke inaelea hewani?
kwenda21 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,423 Reaction score 3,416 Nov 28, 2018 #3 chakii said: gari ni gari mkuu, kwani ikiendeshwa Na mwanamke inaelea hewani? Click to expand... Kila gari Imeendeshwa na mwanamke
chakii said: gari ni gari mkuu, kwani ikiendeshwa Na mwanamke inaelea hewani? Click to expand... Kila gari Imeendeshwa na mwanamke
Oii JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 3,930 Reaction score 3,129 Nov 28, 2018 #4 It is 4wheel not 4while