Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Drake kitambo..Juzi ilikua Drake nae kaleft, mara P Didy.
Acha upuuzi, unafuatilia drama na scandal tu, wapi wamejitangaza kwamba wao ni mashoga?Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani.
Kuna kipindi wale watu waliokua wanajiona wajanja sana miaka ile ya 2008-2010 walikuwa Wanapenda kujiita Scofield. Kumbe mwamba nae alishaleft group kitambo sana, ile ilikua movie tu.
Kuna siku nilikua sehemu fulani hivi nikakutana na kadada flani hivi kakawa kananiambia kanampenda sana yule msanii mdada mfupi mwanamuziki wa kutoka A Town, anasema yule ni role model wake, mara sijui mpole, mara anapenda life style yake bila kujua kuwa huyu mwanadada nae ameleft kwenye group lao kitambo sana na amekua lesbian kwa miaka mingi mno.
Muwe waangalifu mnapochagua role models, iwe wa kiume au wa kike. Poleni sana mliojiita diddy
Hivi hizi habari manazipatia kwenye blogs uchwara zipi?Juzi ilikua Drake nae kaleft, mara P Didy.
Tunasoma hapahapa km zilivyoletwaHivi hizi habari manazipatia kwenye blogs uchwara zipi?
Dogo wewe mshamba tu. Ukinunua burger unatupa ile mikate unabaki na nyama na salad.Juzi ilikua Drake nae kaleft, mara P Didy.
Sasa nikila mikate ugali namwachia nani,Dogo wewe mshamba tu. Ukinunua burger unatupa ile mikate unabaki na nyama na salad.
Nyambaff
Huyo jomba kajizolea umaarufu kwa namna ya kipekeeNgoja raraa reree aamke aje kulike
Usishangae ukaambiwa anaepinga ushoga nae shoga. Mm nimechoka mnoo kusikiliza kelele hizi. Juzi nimepanda daladala Tegeta-Kariakoo kapanda mtumishi wa mungu akatuhubiria. Anaesema "eti mwanaume nae anataaaakaaa mwanaume unautakaaaaaa!!! Mwanaume? Kweli unautakaaaa!" Kakomba sadaka kasepa zake. It's too overated! Waaafrika tukiganda sehem hatutoki mpaka waje 'remote contoler' kutuambia tusogee mbele kufikiria mambo mengineMnapenda habari za upinde na mnawaza ushoga tu muda wote itakua nyie ndo mashoga wenyewe.