p**********d continue

p**********d continue

Sadru

Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
23
Reaction score
4
najua humu tumeachwa watabe na wana ICT wamehamia mashariki ya mbali ambako wengne ni ngum kufika ila kipoint changu ni kwamba hata sisi huku seblen tuendelee kujadili tu na haya mambo ya pd na TG sio kwamba ni madawa ya kulevya au bangi ila kutokana kua tunagusa interest za watu ndo maana inaonekana ni uharamia.so pd kwa matumiz lengwa inaendele tu kufanya kazi na mimi ntaendelea kuwauzia vocha kwa tsh
5000/= tu karibuni nyote.
hii ni kwa ajili ya watu wote wanaohitaji pd kwa matumiz yao na flaniflani usiniulize eti seeting ni zipi aaaaa mi nahitaji wale tu wanaoelewa michongo ianenedelea je .nawasilisha ila isiwe uanja wa matusi na kupondana.
mara oooh spy ahhhhh.kama ni maspy wapo watu wanashinda hum na ni maspy na hawajulikani ....
namba yangu 0688148834
 
huyu sijui ndio yule wanaomuongelea...😛ray:😛ray:😛ray:
 
Mkuu Sadru vipi mbona unajihami sana, kama umekuja kwa business acha kulala, ni biashara gani hutaki wateja wahoji biadhaa yako halafu eti unataka wazoefu wa hiyo biashara, je wateja wapya huwatiki au ndo sitaki mbivu hizi huku vocha zimekudodea!!
 
Last edited by a moderator:
ktumia proxy kusurf bila kulipa ni kosa kma wizi mwingine. ujue hilo!
 
najua humu tumeachwa watabe na wana ICT wamehamia mashariki ya mbali ambako wengne ni ngum kufika ila kipoint changu ni kwamba hata sisi huku seblen tuendelee kujadili tu na haya mambo ya pd na TG sio kwamba ni madawa ya kulevya au bangi ila kutokana kua tunagusa interest za watu ndo maana inaonekana ni uharamia.so pd kwa matumiz lengwa inaendele tu kufanya kazi na mimi ntaendelea kuwauzia vocha kwa tsh
5000/= tu karibuni nyote.
hii ni kwa ajili ya watu wote wanaohitaji pd kwa matumiz yao na flaniflani usiniulize eti seeting ni zipi aaaaa mi nahitaji wale tu wanaoelewa michongo ianenedelea je .nawasilisha ila isiwe uanja wa matusi na kupondana.
mara oooh spy ahhhhh.kama ni maspy wapo watu wanashinda hum na ni maspy na hawajulikani ....
namba yangu 0688148834

Hata ukiuza jero humpati mtu.....
 
haha...baada ya kuingia chimbo,this is all u got for us??
Umekwishaaa.....
 
We jamaa watu wanakutamani sana bas tuu ungekua karibu ungeng'olewa kucha
 
Sadru. nahitaji hizo vocha ntanunua kama sita hivi kwaajili yangu,wife,nyumba ndogo na vitegemezi vyangu ila siwezi kuuziwa mbuzi kwenye kiroba kk so weka setting japo kwa PM ndo tununue.
 
Last edited by a moderator:
najua humu tumeachwa watabe na wana ICT wamehamia mashariki ya mbali ambako wengne ni ngum kufika ila kipoint changu ni kwamba hata sisi huku seblen tuendelee kujadili tu na haya mambo ya pd na TG sio kwamba ni madawa ya kulevya au bangi ila kutokana kua tunagusa interest za watu ndo maana inaonekana ni uharamia.so pd kwa matumiz lengwa inaendele tu kufanya kazi na mimi ntaendelea kuwauzia vocha kwa tsh
5000/= tu karibuni nyote.
hii ni kwa ajili ya watu wote wanaohitaji pd kwa matumiz yao na flaniflani usiniulize eti seeting ni zipi aaaaa mi nahitaji wale tu wanaoelewa michongo ianenedelea je .nawasilisha ila isiwe uanja wa matusi na kupondana.
mara oooh spy ahhhhh.kama ni maspy wapo watu wanashinda hum na ni maspy na hawajulikani ....
namba yangu 0688148834

Njoo nikupe setting za Bol mobile unakamua kwa speed ya ajabu ila uwe tayari kufanya pasu pasu mapato ya voucher
 
Back
Top Bottom