Labda,mm si mtumiaji wa gari za namna hii mara kwa mara lakini hiyo haina tofauti na fourwheel Drive.Fourwheel ukipachika gear yake Dashboard inawaka kukuonyesha kwamba uko kwenye 4WD.Ukiondoa gear dashboard inazimuka.
Ukibonyeza switch na kwenye dash bord taa ikawaka itasomeka hivi OD OFF hapo inamaana overdrive haifanyi kazi na kama utaendesha gari kwa hali hiyo haitamaliza gia.
OD ikiwaka inakuwa on, na unatakiwa kuitumia sana pale unapotaka kuovertake coz hii kitu huwa inafanya gari kutembe na gear kubwa. Hivyo upelekea gari kuwa na puling. Mfano mzuri ukiwa na gari manual upo gear namba tano ukitaka ku overtake faster unaweza change gear kwenda gear namba nne ili uwe na puling kidogo.