Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
- Thread starter
-
- #21
Tafuta hela mkuu
Mwanaume na tamthilia wapi na wapi
Sio tamthilia ni nini?Nani kakuambia ottoman ni tamthilia ππ unafikiri bongo movie hiyo, au indian movie!!ππ hii kitu ilishawai kutokea
Sio tamthilia ni nini?
Kama ilitokea na una uhakika Kwanini upoteze muda kufatilia vitu vyenye uko na uhakika navyo
Mtoto wa kiume na tamthilia, si dalili za kuolewa hizo.
Kuwa makini mkuu, usijeolewa kiongozi. Hivyo ni vitu vya kushabikiwa na wanawake.Sawa ni tamthilia iliyowahi kutokea, wakati mimi na wewe hatukuzaliwa, umeridhika sio!! Halafu acha kunipangia cha kuangalia!
Kwahiyo wote wanaofuatilia Ottoman empire wana dalili ya kuolewa!! Hivi Unaijua ottoman wewe?? Unaongea kufurahisha genge tu co!!π au ulikua hujui Ertugrul/Ottoman imewasilimisha weng!! Endelea kuumia, wewe na wenzio mliokwazika ππ
Duh we mtu wa ajabu sana. Hiyo ottoman empire wengine tuliisoma secondary we ulikuwa wapi?Sawa ni tamthilia iliyowahi kutokea, wakati mimi na wewe hatukuzaliwa, umeridhika sio!! Halafu acha kunipangia cha kuangalia!
Kwahiyo wote wanaofuatilia Ottoman empire wana dalili ya kuolewa!! Hivi Unaijua ottoman wewe?? Unaongea kufurahisha genge tu co!!π au ulikua hujui Ertugrul/Ottoman imewasilimisha weng!! Endelea kuumia, wewe na wenzio mliokwazika ππ
Ujinga ujinga tumimi sjaongelea la max nimeongelea hilo la kumpangia
Hilo halina utofauti na hawa.Duh we mtu wa ajabu sana. Hiyo ottoman empire wengine tuliisoma secondary we ulikuwa wapi?
Acha kuangalia vitu vya wanawake
Wewe unayeangalia porn unakuwa na akili timamu kweliMtoto wa kiume na tamthilia, si dalili za kuolewa hizo.
Sahihi kabisaaa Mkuu.Na ndio hawa hawa wanaoangalia bondita, caesar na hayo matakataka ya kihindi&kituruki, mamuv yenyewe yamejawa action mbovu, hiv huwa mnapata wapi nguvu kufuatilia hayo madude?
Kuweni wazalendo tazameni Bongomuvi kwa maendelel na manufaa ya nchi yenu
Angalia usiolewe.Wewe unayeangalia porn unakuwa na akili timamu kweli
Sahihi kabisaaa Mkuu.
Hizo tamthilia zimejaa upuuzi mwingi Kama ushoga,chuki dhidi ya watu wa imani tofauti na uchafu mwingine mwingi tuu
wanaume wa shoka? Ndo nini?Hapo kwenye ushoga unaweza kuweka clip kama ushahidi?
Hapo kwenye chuki, hebu fafanua vizuri chuki zipi hizo?
Kwenye uchafu mwingi, uchafu upi huo? Kwanini unaongea vitu bila uhakika!!
Hapo nazungumzia Ertugrul and Osman, wanaume wa shoka na wapambanaji. Na sio bongo movie, Indian movie, Nigerian movie n.k
Nasubiri majibu!
wanaume wa shoka? Ndo nini?
Nakubaliana na wewe kabisa na ninajua kabisa hayo ni maeneo ambayo Azam Tv nanafanyia biashara nje ya michezo yz mpira ila na wateja mahitaji yet WATUKUBALIE . JAMBO jingine naomba mwenye titlle ya kiTuruq ya tamthilia ya THE REVENGE maana kila ninapo search You Tube nakutana na move zingine zingiaView attachment 2279443
Kwenu Azam tv, azam two!
Kiuchache tu nisiwachoshe wadau wenzangu na wafuatiliaji wa Osman/Ottoman Empire, inayofuatiliwa na watu wengi.
Ombi langu kwenu Azam tv/Azam two, tunaomba tamthilia/Historia hii ya Osman, muongeze muda wa ziada, atleast li-saa li-moja na dakika thelathini (1.30hr), itapendeza sana ndugu zanguni. Mkuu Maxence Melo tufikishie huu ujumbe tafadhali!
Karibuni sana wananzengo!!