Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Haipingwi hyo.
Aisee nchi hii khaa
Nakubali mkuu. Waongeze mda mashabiki tuinjoy.Pamoja Edo
Maxence anahusika nini na azam media?View attachment 2279443
Kwenu Azam tv, azam two!
Kiuchache tu nisiwachoshe wadau wenzangu na wafuatiliaji wa Osman/Ottoman Empire, inayofuatiliwa na watu wengi.
Ombi langu kwenu Azam tv/Azam two, tunaomba tamthilia/Historia hii ya Osman, muongeze muda wa ziada, atleast li-saa li-moja na dakika thelathini (1.30hr), itapendeza sana ndugu zanguni. Mkuu Maxence Melo tufikishie huu ujumbe tafadhali!
Karibuni sana wananzengo!!
mtu aweke King'amuzi mwenyeweMaxence anahusika nini na azam media?
Alafu haya mambo ya watoto wakiume kuangalia tamthilia za ajabu ajabu muache
Maxence anahusika nini na azam media?
Alafu haya mambo ya watoto wakiume kuangalia tamthilia za ajabu ajabu muache
Download mkuu mbona rahisi tu Kama huna PC au simu tafuta kwenye maduka makubwa huko ziko kwenye mfumo wa disk drive
Mkuu umri na jinsia yako tafadhali.View attachment 2279443
Kwenu Azam tv, azam two!
Kiuchache tu nisiwachoshe wadau wenzangu na wafuatiliaji wa Osman/Ottoman Empire, inayofuatiliwa na watu wengi.
Ombi langu kwenu Azam tv/Azam two, tunaomba tamthilia/Historia hii ya Osman, muongeze muda wa ziada, atleast li-saa li-moja na dakika thelathini (1.30hr), itapendeza sana ndugu zanguni. Mkuu Maxence Melo tufikishie huu ujumbe tafadhali!
Karibuni sana wananzengo!!
Mkuu umri na jinsia yako tafadhali.
Wewe ni mtoto wa kiume.Nani mtoto hapa?
Niko na vyote dharau na heshimaKuwa na heshma mkuu.
Ni sawa, ila Maxence Mello ni nani Azam media hadi atoe ushauri wa hayo makolokolo?Na kaa utambue hii sio bongo movie, hii ni ottoman empire wanaume wa shoka, ilishawahi kutokea miaka ya nyuma.
Sasa Max ni nani pale Azam media hadi amuombe aongee na uongozi wa Azam media kuhusu hiyo mitamthilia iongezwe muda?mtu aweke King'amuzi mwenyewe
alipie mwenyewe
aangalie mwenyewe tamthilia azipendazo
atokee mtu kusikojulikana ampangie mwenzie wakat hata kikija kuisha hamsaidii kulipia
akiangalia anavunja sheria gani ya nchi??
Tafuta hela mkuuNani mtoto hapa? Kuwa na heshma mkuu. Na kaa utambue hii sio bongo movie, hii ni ottoman empire wanaume wa shoka, ilishawahi kutokea miaka ya nyuma.
mimi sjaongelea la max nimeongelea hilo la kumpangiaSasa Max ni nani pale Azam media hadi amuombe aongee na uongozi wa Azam media kuhusu hiyo mitamthilia iongezwe muda?