Orodha ya wachungaji matajiri duniani

Hawa Wapiga dili wetu wa Bongo hawajaingia pamoja na kwamba hawalipi kodi....huwa siwasikii kuchangia maafa yoyote...Watachanga kina Diamond lakini wao kimya.
Zilizochangwa za Bukoba zimekwenda wapi?. Alafu wacha kuzungumza bila data Mtumishi Mama Rwakatare kuwalipia wafungwa dhamana hulioni hilo?. Pia makanisani mwao wana huduma za masaidiano kuwasaidia wasiojiweza hili hutoliona kamwe maana kwqnza huamini katika Mungu.
 
Kwani mlifungwa kamba kuwapelekea hizo fedha? tena sasa nawaomba wawatangazie MWISHO WA DUNIAUMEWADIA 'uzeni nyumba pesa mpeleke kwao'!! WAJINGA NDIO WALIWAO!
 
Wewe ni 'mhanga' wa huyo mama? acha aendeleee kuwalia vihela vyenu tu, wajinga ndio waliwao!
 
Nashukuru kwa kuliona hilo.
 
Safiiiii
 
Ahsante
 
Masanja naye hayumu....anajifanya mfanya biashara kumbe anawapiga masikin pesa za sadaka ....wajinga ndo waliwao[emoji23] [emoji12] [emoji12]
 
Dada acha wivu, wanaume mbona hatupogo ki hivyo?
Unajua hapa JF ni jukwaa huru sawa! Ukiona ninacho-post kina kukera unanipotezea...Au unani-block kabisa....

Sasa kwa kuwa kideri kinakusumbua unahitaji kisu uchinjwe...

Hao wachungaji ni wapiga dili tuu....Akifa huyo Mchungaji ndio mwisho wa Kanisa...Wamefanya makanisa yao ni vitega uchumi binafsi...Kanisa la mtu na si Taasisi....Ndio maana utasikia Mimi nasali kwa Rwakatare, kwa Malisa au Mwingira...Hujuilizi ni kwanini..?
 
Tuanze na swala la kuku, unamanisha kwenu hamchinji kuku mpaka awe na ugojwa wa kideri!!! Naomba unitajie mtumishi alie aga dunia kanisa likafa,

Mbali na Baba yako?
 
Sina haja ya kuku block maana kwa uwepo wako hum Jr utajifunza mengi na ujinga utapungua km sio kuisha kabisa. Naomba udipanic
 
Wote hao nimewafanyia utafiti wa kutosha.Nina ushahidi wa kutosha kwamba utajiri wao unatokana na yule mwovu.Katika kitabu cha Mathayo 4:8-10 neno la Mungu linasema,"8 Kisha Ibilisi akamchukua Yesu mpaka mlima mrefu mno,akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,9 akamwambia,,haya yote nitakupa, ukianguka kunisujujia.10 Ndipo Yesu akamwambia,nenda zako Shetani,kwa maana imeandikwa,Msujudie Bwana Mungu wako,umwabudu yeye peke yake.Shetani hajabadilika,Shetani yule yule aliyemjaribu Mwana wa Mungu ndiye aliyeko leo.Kama alivyomjaribu Bwana Yesu anawajaribu wengi leo ikiwa ni pamoja na akina Graham na Prince.Kwa bahati mbaya wamekubali uovu wake.Jambo la kufurahisha ni kwamba bado wanayo nafasi ya toba.Wakitubia uovu wao Mungu yuko tayari kuwasamehe.
 
T. D Jakes hayupo humo kwenye orodha ? Basi nakataa umefanya tu makusudi
 


Muongo wewe.lete ushaidi wako hapo.kazi kucopy maandiko na kuyatasfiri tofauti.
 
Sawa una uhuru wa kuamini na kutafsiri maandiko unavyotaka lakini Roho Mtakatifu ni mmoja tu.Tusiendelee kubishana.Ukweli utajidhihirisha kwenye hukumu ya mwisho.
Muongo wewe.lete ushaidi wako hapo.kazi kucopy maandiko na kuyatasfiri tofauti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…