[emoji23] [emoji23]Na kwa wenzetu pia wapo...... Sheikh Shariff Majini naona anakuja kwa spidi ya Gwajima
Kama kawaida hatujala na kama tumekula hatujashiba.
Hawa ndio wanaokula kiulani mbele ya madhabahu yao kama ilivyoandikwa.
Joseph Prince
T.B Joshua
Franklin Graham
Billy Graham
Kenneth Copeland.
Gwajima amejikita kuhubiri neno la Mungu na si kujitajirisha, Mungu aendelee kumtia nguvuGwajima hayumo??
Ni moneygram sio Graham!!Hugo Graham ndiyo mmiliki was money Graham?
Gwajima yeye ni injili tu mambo mengine badaeGwajima amejikita kuhubiri neno la Mungu na si kujitajirisha, Mungu aendelee kumtia nguvu
Kwan hao marajiri waliotajwa apo juu wanaubiri neno la shetaniGwajima amejikita kuhubiri neno la Mungu na si kujitajirisha, Mungu aendelee kumtia nguvu