Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 54
- 76
[emoji23][emoji23] Nataka kujifunza aisetafuta hela kijana acha kuzungumzia hela za wenzio
Jobless kwenye mabishano yao topic ni hizi hizi.Kuna ubishi mkali unaendelea hapa nilipo baada ya kifo cha Subash Patel.
Tunaomba link au taarifa kuhusu utajiri wa Patel, je alikuwa milionea, bilionea au trilionea?
Forbes nao ni jobless? Bloomberg nao ni jobless?Jobless kwenye mabishano yao topic ni hizi hizi.
Msipoweka Jina la Mamndenyi hiyo orodha ni batili.
Inashangaza. Watu tunataka kuelewaForbes nao ni jobless? Bloomberg nao ni jobless?