Orlando Massacre: US Going Through Its 'Worst Nightmare'

Kuna propaganda au theory fake huko west wanasema mtu akiupinga kwa nguvu ushoga basi huenda ana element za ushoga. Nafikiri ndicho wanachojaribu kutengeneza. Na hii imefanya wengi wasikemee na waukubali ushoga ili wasionekane au kudhaniwa kuwa ni mashoga.
 
Mi nakubaliana maono ya jamaa mmoja humu Jf,kwamba uenda jamaa wanatafuta kick wapate ulinzi na haki zao ziheshimiwe,Kama ni hvyo bas huyo jamaa kweli atakuwa alkuwa ni shoga mwenzao.
Hawa jamaa wako sirini wanaunda mfumo wenye nguvu sana kifedha,na kiutawala.Ndio maana viongoz wakubwa kukemea jambo hili wanakemea kwa uwoga na saa yaja ambapo ukiwa challenge mashoga tabia zao utalamba miaka mingi gerezani kama si kufutwa kabisa.
Ukitafuta mantik ya ushoga kwa maisha ya binadam hupati logic lakini watu wanainvest uko.Hapo ndipo unatakiwa kuconclude kwamba this is spiritual war.
Ni kweli Mungu akishusha moto utaangamiza na wasio na hatia hilo hata kule sodoma alilijua ila uamzi wake ulkuja baada ya kuona mashoga yalishatransform watu wa mji ule wote kasoro mtoto wa kaka yake Abraham (Lutu) ambae alimwokoa.Na abraham aliomba Mwenyez Mungu ausamehe sodoma kwa kuwa kunawezekana kukawa na wema ndani yake,aljibiwa kukiwa na wema hata kumi tu ndani ya mji ataghairi kuupga moto.Na sisi tunaendelea kufanya upuuz huu kwa sababu kuna wema wanaotulinda na ghathabu ya mwenyez Mungu.
 
Hapo kwenye spiritual war wengi watasema ni westerners/USA against Uislam (tuwe wazi hapa) lakini tukumbuke kuwa ushoga umekuwepo kabla Marekani na hata utawala wa rumi labda haujakuwepo! Hapa ukweli ni akili za binadamu ndivyo tulivyo ...wengine +ve na wengine -ve!
 
usikute alikuwa anahudhuru pale kama casing the joint,,
 
Hawa marekani ndio wanatuharibia hii Dunia na mambo yao machafu wanayofanya
Ndio maana unaambiwa ukiletewa mambo yao lazima uchekeche.

Watanzania ni watu wa ajabu sana duniani.
 
Dah kumbe ilikuwa club ya mashoga baas walistahili kabisa ,tens Dogo angekomaa akawamaliza woote
 
Uko sahihi, kibinadamu inasikitisha na inatia huruma, lakini MUNGU ameshasema ukifa tu ni hukumu, sasa kama hawakutengeneza njia zao duniani it is too late hata tukiacha shughuli zote duniani kuwaombea wao tu MUNGU hatobadili maamuzi yake.
 

Mkuu nashangaa sana Unahukumu hawa Marehemu walio uwawa kinyama .
Katika vitabu vyote vya dini.MwenyeeziMungu peke yake ndio anaye hukumu.Zaidi ya makatazo mengi MwenyeeziMungu ametuonya tusiyafanye kama Kusengenya,Uzinzi,Uongo,Utapeli,Kuuwa,Kubagua Na orodha ndefu tu.Hapa JF watu wanatamba Kwa UZINZI,Chuki,Utapeli mbona hamuandiki kulaaani.Watu wanayo haki ya kujichagulia maisha Yao ingawa hayatupendezeshi.MwenyeziMungu kawaumba Na yeye peke yake atawahukumu.
 
Jamani kizazi hiki???eeh MUNGU tuepushie na hili balaa la ushoga.maana hili tukio limecreate awareness khs ukubwa wa hili tatizo.yan kwenye mitandao ni picha na maneno ya kulaani khs mashoga kuuawa..mashoga wanakumbatiana wanalia pamoja.Ni kama hili ni jambo la kawaida kabisa kwa wenzetu wamarekani.Ee Mungu tukimbilie wap?tuwafiche wapi watoto wetu wa kiume??na mitandao hii na jamii hii inayoonyesha kulikubali suala la ushoga km ni sawa na kawaida sana?Sina la kusema sitaki kuhukumu ila kizazi hiki ni kibaya sana mtu kuishi.Na mtu anayesema mtoto ukimpa malezi mazuri hawezi kuwa shoga anakosea..mitandao ina influence kubwa sana ktk kubadilisha tabia na mtazamo wa mtu juu ya jambo fulani.na pia wazungu wanapiga kampeni kubwa sana ya kubadilisha mtazamo wa wanadunia wengine khs ushoga..God have mercy!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…