Original wax vitenge for sale

tifa

Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
53
Reaction score
5
Original Vitenge,100% cotton,6yards per piece,available in different beautiful colours. They don't fade.
 

Attachments

  • 1400352_807238979350856_3795955362563482761_o.jpg
    125.7 KB · Views: 284
  • 10848887_807241876017233_5313999289294351993_o.jpg
    134.2 KB · Views: 284
how much mbona unaela biashara kienyeji eka kila kitu hapo watu wachague

inglish hiyo unawauzia waswahili kumbuka
 
Me sio mpenzi wa vitenge na wala sijawahi vaa ila duh vinavutia hivyo hadi natamani na mie nivae siku moja
 
Weka bei ila pia maua mbona makubwa sana. Wanawake wavaa vitenge mara nyingi ni wanene. Sasa na maua makubwa hawapendezi. Acoording to my mama Ngina niko naye hapa nimemwonyesha. Anataka vitenge vya maua madogo.
 
Asante kwa ushauri we nu bei ni 60000 mawasiliano namba 0715919296
 
Maua madogo kitenge hicho hapo
 

Attachments

  • 1418453704001.jpg
    132.2 KB · Views: 201
Tifa... tuambie ni brand gani bana. Sio orijino, orijinal ndio nini?
 
Mama Ngina yupi? Wa Chanika?

Ha ha ha ha mkuu si wa Chanika, Hilo ndilo jina nililoanza kumwita wifi/shemejiyo nilipomuao. Unajua mke wa Kenyata mdogo aliyomzaa Uhuru alikuwa anaitwa mama Ngina, kuonesha heshima kubwa kabisa. So na wangu nilipomuoa nilimwita mama Ngina, ndilo jina lake mimi na yeye tu i.e mama Ngina wangu!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…