ORIFLAME network marketing

Moorio

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
407
Reaction score
588
Bado unasumbuka na tatizo la ajira?? Je umeajiriwa na mshahara wako hautoshelezi mahitaji yako ya mwezi?? Je una ndoto za kuinuka kiuchumi toka hapo ulipo?? Je wewe ni mwanafunzi uko chuon au shulen na unakosa hela ya kujikimu kimaisha???
Karibu NETWORK MARKETING YA ORIFLAME TANZANIA,kampuni ya vipodoz vya asili ya kiswedeni inayokupa fursa pekee ya kuinuka kiuchumi kupitia uuzaji wa bidhaa zake kwa mtaji kidogo tu wa 9,000/= (elfu tisa tu),ambapo inakupa faida ya 20% hadi 30% kwa kila bidhaa utakayouza na kununua,na pia inakupa bonus ya kila mwezi inayofika zaid ya dollar elfu 5 ($5000) za kimarekan...
KARIBU KWENYE TRAINING ZETU ZA UJASIRIAMALI,NA JINSI YA KUINUKA KIUCHUMI ZINAZOFANYIKA KINONDONI MOROCCO,KILA SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 6 KAMIL MCHANA,JENGO JIPYA KABISA LA AL-DUO BARABARA YA KWENDA MAKUMBUSHO...
##WEKANAMBANIKUADDWATSAP KWA MAELEZO ZAID,
AU NITEXT WATSAPP KWA NAMBA 0767184333
 
hahahaa akiona mmefukua hivi anabaki penga makamasi kwa kilio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…