I Innocenzo Member Joined Jul 29, 2017 Posts 21 Reaction score 4 Aug 22, 2017 #1 Habari zenu ndugu.Nauliza,eti tofauti ya advanced diploma na ordinary diploma ni nini?Na mtu aliyemaliza form akakosa vigezo vya kujiunga na degree,akitaka kwenda diploma inabidi awe na vigezo gani?
Habari zenu ndugu.Nauliza,eti tofauti ya advanced diploma na ordinary diploma ni nini?Na mtu aliyemaliza form akakosa vigezo vya kujiunga na degree,akitaka kwenda diploma inabidi awe na vigezo gani?
xaidjr JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 392 Reaction score 468 Aug 22, 2017 #2 Ordinary ni diploma ya kawaida baada ya kupata certificate au kumaliza six ukakosa credit za kwenda degree advance diploma ndo equivalent na degree Sent using Jamii Forums mobile app
Ordinary ni diploma ya kawaida baada ya kupata certificate au kumaliza six ukakosa credit za kwenda degree advance diploma ndo equivalent na degree Sent using Jamii Forums mobile app
prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,293 Reaction score 3,649 Aug 22, 2017 #3 Na me hapa nauliza je mtu mwenye vigezo vyote vya kwenda degree akiaply advance diploma atapata..? Sent using Jamii Forums mobile app
Na me hapa nauliza je mtu mwenye vigezo vyote vya kwenda degree akiaply advance diploma atapata..? Sent using Jamii Forums mobile app
I Innocenzo Member Joined Jul 29, 2017 Posts 21 Reaction score 4 Aug 24, 2017 Thread starter #4 xaidjr said: Ordinary ni diploma ya kawaida baada ya kupata certificate au kumaliza six ukakosa credit za kwenda degree advance diploma ndo equivalent na degree Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukrani.....nimekupata vizur
xaidjr said: Ordinary ni diploma ya kawaida baada ya kupata certificate au kumaliza six ukakosa credit za kwenda degree advance diploma ndo equivalent na degree Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukrani.....nimekupata vizur
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Aug 24, 2017 #5 Achana kabisa na advance diploma. Hii ni equivalent to bachelor degree. Kama ambavyo FTC ilivokuwa sawa na Diploma Sent using Jamii Forums mobile app
Achana kabisa na advance diploma. Hii ni equivalent to bachelor degree. Kama ambavyo FTC ilivokuwa sawa na Diploma Sent using Jamii Forums mobile app