Hivi hawa WCF wana nini? maana written interview ilifanyika kwa namba ,na walisema majibu watatoa kwa zile namba ,sasa ni zaidi ya mwezi wa pili wengine tushapoteza hata tulipoziandika zile namba.sijui wana nia gani hawa jamaa?

Acha kumkatisha mwenzio tamaa wewe
kwan uko kwenye kitengo cha human resource cha wcf kwamba unajua watatumia utaratibu upi kupata info za watakaoitwa oral interview?