Tunzo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 4,128 Reaction score 2,452 Oct 17, 2013 #1 wakubwa waliowahi kufanya oral interview ya SALES EXECUTIVE TPB please naombeni mniambie zinakuaje, najua ushauri wenu hautanisaidia mimi tu kwasababu wengi tuliofanya ya written tumeitwa wiki ijayo..
wakubwa waliowahi kufanya oral interview ya SALES EXECUTIVE TPB please naombeni mniambie zinakuaje, najua ushauri wenu hautanisaidia mimi tu kwasababu wengi tuliofanya ya written tumeitwa wiki ijayo..