Duu, huongezi kidogo umri?
Hahahaaaa mkuu imekukata
Yani sijui nika chukue cheti fake...
Wana MMU habarini .NAJUA KUNA WA DADA WENGI TU NA WANAWEZA KUA NA TABIA NZURI WALIDANGANYWA NA WAPENZI WAO NA MWISHO WA SIKU WAKATEREKEZWA ISHALLA.MM NI MKRISTO NA NIMFANYA KAZI NIPO DAR NATAFUTA RAFIKI WA KIKE ANAYEJITAMBUA NA KUJIDHAMINI AWE RAFIKI YANGU WA KARIBU ILA SIJAOA .NINGETARAJIA KUOA KAMA NIKIMPATA MTU MWENYE FIKRA NA MTIZAMOMCHANYA.ILA ASIWE NA UMRI ZAIDIMYA MIAKA 27 NA SI CHINI YA MIAKA 20 MM NINAMIAKA 29
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ALIYE MATURED/ALIEKOMAA KI AKILI ANAWEZA KUNI PM
Yani ukiniona kwa sura utadhani nna 23-35 lakini kijeba,sili vya mafuta wala chips kuku nikazeeka mwili.... yani ungepunguza kuduchu ungefurahi na roho yakoooooooooooo...lolhakuna kukagua vyeti vya kuzaliwa ukionekana kwa macho unaonekana wa sabini kilauea mtu siataniuliza company gani hiyo nafanya mbona hainaut direction
mtu alie kosa matunzo anajionyesha kabisa na wa miaka ya 70 anaonekana just bring your whatsapp number we arrange to meet worry out!!!!!!age aint nothing but a number......atakuja wa 30 utafikiri ana 25 na atakuja wa 25 utadhani ana 35....jipange!