bebi kuna nini kinaendelea....mie nilienda sokoni mupenzi wangu
Ni vile batu banatumikaga kwenye bamitandayo bachitchat mbo.
Namtafutanga Heaven on earth. Mia
mmmh! honey uchonganishi huo!
Lady doctor amejifungua mutoto nafanana na mimi
musee napembelesa ukiona hamujui lugha hii banchi ni tanzani
mmmh! honey uchonganishi huo!
Ukitaka kuwakamata hao we andaa tamasha la bolingo halafu lisiwe na kiingilio....utawaona mapapaa watavyomiminika bwerere!!
Unawaalika Wenge Musica, Koffi Olomide n.k
Mbona utata,hata sielewi
Wakimbizi wacongomani Walio kuwa wamekimbiliya inci ya chitchat huko Tchengerero/Jomba. Hawakuweza kukuta Ndani yao hata Mukimbizi mumoja Toka Tanzania kinyuma ya matamushi aliyo ya peperusha Bwana Baba V Liwali anayecukiliwa sana na raia ya CC, na anaye waza kama atapendwa ingawa anazihirisha cuki anayo zidi ya kabila zinazo Ongeya Kinyarwanda
wewe mwenyewe si umeona alivyomwambia? eti amtie ulimi masikioni.....