Operator wa excavator natafuta ajira

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
259
Habari wana jamvi hope mko poa kabisa!

Na mnaendelea na Majukumu ya kila siku.

Mimi nimekuja kwenu humu kutafuta connection kama kuna mtu anaweza nifanya nikapata Machine yaani excavator.

Nimeambatanisha na Cv yangu hapo ili wakulungwa tupeane Michongo

No yangu ni: 0659325453
 

Attachments

Njoo ujaribu bahati yako huku kwa mwalimu nyerere huu mradi una mageti 3 ya kuingilia ila maarufu ni 2 fika kijiji cha mloka ( rufiji) au kisaki(upande wa morogoro) uwe na barua ya utambulisho hakikisha ina muhuri wa afisa mtendaji sio mkiti,barua ya maombi ya kazi na kitambulisho aidha cha nida,kura au hata leseni maana namba ya kitambulisho ndio hutumika kutengenezewa kibali cha kuingia ndani ishu nzito ya huu mradi ni jinsi ya kuingia ndani mradi upo ndani ya hifadhi kupata kibali cha kuingia humu ndani ndio mziki ila kazi zipo laiti km ingekuwa geti la kuingilia hili hapa linaonekana wengi wangekwishapata ajira kuna kampuni nyingi sana ndani na hazina means ya kupata watu yaani hazina ofisi kwenye hayo mageti tajwa hapo juu so ikitokea umefaiti ukaingia hata km utafeli test kampuni A waweza faiti ukapata kampuni B C ama D ishu ni kuingia ndani jaribu bro Allah akutangulie in shaa allah
 
Asante sana Mkuu
 
Sasa mbona inakua ngumu kuingia ndani wakati wanjua kuna mradi unaendelea na watu wanahitaji vibarua? Basi lazima kuta kuwa na ofisi nje ya hapo ambazo zitakuwa zinatafuta mahitaji ie wafanyakazi
Asante sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…