Ikiwa ni wezi na wewe mpuuzi wao.
TCU anachofanya ni kupangia wanafunzi chuo na si kudahili, UDSM wakisema hawakutaki basi TCU hana la kusema.
Ila ndo ivo FORM 6 kila wakiongezeka na wapuuzi wanaongezeka.
Open University wanadahili kama chuo na kuthibitishwa na TCU na kama ulivosema si wezi.