hiyo ni hesabu yako Open univeristy ina gharama kubwa sana kuliko unavyo fikiri zipo course ukauta zina unit 3 na kila unit ni 90000 cha msingi ujipange tu otherwise utachukua ata miaka 5 kumaliza
Hicho chuo sina imani nacho sana.
Kuna jamaa yangu yeye anasoma hapo MBA,hajawahi kufanya assignment hata moja.huwa analipa watu wanamfanyia na anapass vizuri tu

Kwani vyuo vingine si wanafanya group assignments alafu mnakuta kwenye group mpo kumi ila watatu hawakuuzulia ila assignments ikisahishwa wote mnapewa max ambazo ndio mnaenda kujaziliza paper ya mwisho kule open assignments zao ni online uwe faster materials ya kutosha kwahiyo kwenye upende huo kule OPEN kugumu teacher tu kumuona nasikia kazi uku kwengine unamsubili katoka kantin mnayajenga