Unawatetea wakwapuaji wenzio!Hayo ni maeneo ya watu, hayakuwa open space
Mkuu kama huujui mji kaa kimya.Hayo ni maeneo ya watu, hayakuwa open space
Huko maeneo yote ya waziIliniuma viwanja vya ABC TEMEKE jiran na taa nyekundu vijana walikuwa wanapata maeneo ya kucheza jion leo hii pamejengwa magodown hamna hata pa kuweka tako
Hayo majibu wampe nani Kwa mfano, .serikali mtaa au halmashauri wanatakiwa watoe majibu nini kinaendelea maeneo hayo
waulizaji mkuu, wakazi wa eneo husikaHayo majibu wampe nani Kwa mfano, .
This is Tz bana
Wananchi hawataki hata kujua maana serikali yao imeshindwa kuwaboreshea hata miundombinu,ajira,na huduma za kijamii kama hospital,shule nk.waulizaji mkuu, wakazi wa eneo husika
hali tete sana , nafuu haijulikaniWananchi hawataki hata kujua maana serikali yao imeshindwa kuwaboreshea hata miundombinu,ajira,na huduma za kijamii kama hospital,shule nk.
Yaani pale drive in pageuke kuwa kiwanja Cha watu ila imenisikitisha Sana Tulikuwa tunacheza mpira paleMkuu kama huujui mji kaa kimya.