Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Kivipi mbona tunajibu maswali yoteKwanini huwa amjibu maswali ya wateja wenu.
Nipo kwenye app yenu nimesoma maelekezo yote hakuna nilichofanikiwa kuhusu premiseKivipi mbona tunajibu maswali yote
Unatumia App hiyo ukiwa upo wapi..? Mkoa gani Tanzania?Nipo kwenye app yenu nimesoma maelekezo yote hakuna nilichofanikiwa kuhusu premiseView attachment 889112
Mbeya Wilaya kyelaUnatumia App hiyo ukiwa upo wapi..? Mkoa gani Tanzania?
Nasubiri majibu yako mkuu jinsi ya kufanya hapoUnatumia App hiyo ukiwa upo wapi..? Mkoa gani Tanzania?
Tulisha kujibu hili swali kupitia Facebook. Unaweza kuangalia majibu hapo.. Pia kama unakuwa na swali lenye kuitaji majibu haraka unaweza kuuliza kupitia HAPAMi wananiletea hivyo tu basi kila siku.View attachment 889193