huelewi nini tena dada yangu ?
tatzo network yako not available
hii ni mpya
ni nzuri kwenye swala la kupunguza stress.......
km sijaelewa sijui ni mm na huyu mulugo jamani, msaada tafadhari
Kivipi?
1
kwa sababu hii haina wivu, kufuatiliana, mnatafutana wakati wa kutaka kutumiana tu!!!!!
...
2
na vilevile uwezi kuwa na mtu ambaye na yeye anashida au analia njaaa kama wewe utakuwa mwehu ...
hapo wivu kapuni ni kugegedana na kula bata......na uwezi kuwa na open relation ambayo wote mnalia shida haiwezekani...
Sawa, lakini wanamaanisha ama wanachanganya uelewa!
X-Hii nmeiona leo huko facebook ,alafu watu wanampongeza jamaa [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Z.Asante kwa kinifungua kuhusu "open r-ship" nlikua sijaielewa zaid
Dah....ila kuwa single ni raha Sana [emoji41]Ni bora hiyo kuliko Single