anazungumzia status za mahusiano
nani anamjali mtu kwanza siku hizi...!hakunaga mapenzi ya kugandana hata iwe kwenye ndoa..bora uwe openni nzuri kwenye swala la kupunguza stress....... ila ni kero kwenye yale mambo yetu,,,
hivi mimi na wewe tuko open relationship or complicated?ni nzuri kwenye swala la kupunguza stress....... ila ni kero kwenye yale mambo yetu,,,
km sijaelewa sijui ni mm na huyu mulugo jamani, msaada tafadhari
hivi mimi na wewe tuko open relationship or complicated?
basi tuu nafikiri kasi ya uzee kwangu ni kubwa zaid kuliko kwa mtu mwingine yyte.anazungumzia status za mahusiano
either upo ...married or single or in relationship or in open relationship ama divorced au in complicated relationship
mi mwenyewe nimeandika in open relationship kumbe maana yake ndo hiii
ila ndo hivohivo lakini
ivi inakuaje kwanza mtu unakua in an open relationship?
unakua hauna hata kipande cha wivu?
hii anaiweza jada and the alikes
mie mwenyewe nashangaa shangaa hapa
haya mama kamsome Smile anasema hivi hizi ni status za relp hasa huko FB zikiandikwa ni OR je watu humaanisha OR ama humaanisha kwamba mahusianao yao yako wazi tayari??
sjui nimepatia ama nimekosea mmtamrekebisha mwl mzee.
huelewi nini tena dada yangu ?basi tuu nafikiri kasi ya uzee kwangu ni kubwa zaid kuliko kwa mtu mwingine yyte.
still confused...............