Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kamtafuna hakuna kiki hapo mwaka mzima walikuwa wanatumiana huku mumewe alikuwa akijua kuwa mke wake anatoka na mchizi.Nini tena mdogo wangu!
Ni masharti ya mganga, au kiki kwa album yake mpya, ooops le super Mario!
Zipo lakini hii sio kick mzee ni True wamedate.Marekani nako kick zipo
Ni Ndoa ambayo inaruhusu mtu yeyote anaweza kuwa na mtu mwengine ukiwa nje ya nyumba inaweza vipi kuvunjika wakati unaruhusiwa kudate na mtu yeyote mahusiano ambayo hayana wivu ndio haya.Ila ndoa na Jada na will Smith ni ya kitofauti sana.
Ndiyo maana haivunjiki.
Hizi ndoa zingekuwepo Bongo sijui ingekuwaje 😆😆😆 kwakeli 🔥Wenzetu wako tofauti kidogo! Sometimes wanandoa wakiboreka kwenye sex wanatafuta other couple then wanabadalishana wapenzi ili kutafuta ladha mpya. Au wanaweza kununua malaya then wanapiga kitu cha three some.
Duniani kuna mambo sana! Wenzetu Wapo open sana. Kupiga kitu cha threesome sio issue kabisa.Hizi ndoa zingekuwepo Bongo sijui ingekuwaje 😆😆😆 kwakeli 🔥
Wenzetu wako tofauti kidogo! Sometimes wanandoa wakiboreka kwenye sex wanatafuta other couple then wanabadalishana wapenzi ili kutafuta ladha mpya. Au wanaweza kununua malaya then wanapiga kitu cha three some.
Pia Kuna Swingers Club.
Ndio wanandoa.Wanandoa!!!
Ndio wanandoa.
Ndio hivyo. Tembea uoneUnaposema huko kwa wenzetu, kwanza wengi tu hawana ndoa... hasa hao unaofikiria.
Threesome!!!
Ndio hivyo. Tembea uone
Mahusiano mengi ya kibongo ni sawa na open relationships tu sema hayako rasmi. Na hii ndio hupelekea watu kuumizana kila uchao. We need to advance ni ngumu sana kwa mwanaume kuwa na wivu na malaya.Ni Ndoa ambayo inaruhusu mtu yeyote anaweza kuwa na mtu mwengine ukiwa nje ya nyumba inaweza vipi kuvunjika wakati unaruhusiwa kudate na mtu yeyote mahusiano ambayo hayana wivu ndio haya.
😆 😆 😆 hawa watu ndio wanajua mapenzi kwakeli kwa wanavyo Ishi haya maisha yao wanaenjoy sana.Duniani kuna mambo sana! Wenzetu Wapo open sana. Kupiga kitu cha threesome sio issue kabisa.