Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Baada ya jana kufanya mikutano mitatu ktk kata ya songambele na kuzindua msingi mmoja kati ya 150 Ambayo tumepanga kuizindua katika Jimbo hili.
Leo ikiwa ni siku ya nne toka tuanzishe..oparesheni delete Ccm ya katika Jimbo la urambo asubuhi ya leo tulikuwa ktk kata Vumilia tumepiga mikutano mitano na kuzindua misingi mitano katika vijiji vya uhuru,vumilia,motomoto,mlangale na chameleon na Baadae jioni tukamalizia mkutano urambo mjini ktk viwanja vya mwananchi square tukiongozwa na Kamanda Samwel Ntakamulena, Leonald Mapolo(watiania ubunge urambo) Julius J Mwita (mwenyekiti jimbo) na makamanda wengine
Kesho tutakuwa kata ya ukondamoyo
Hakuna kulala mpaka ukombozi wa Taifa hili upatikane
Manawa Bukwimba Shytown

hakuna kichochoro kitakachoachwa .mfike hadi kaliua ,usoke hapo lazima ccm wajibebe mwaka huu
Baada ya jana kufanya mikutano mitatu ktk kata ya songambele na kuzindua msingi mmoja kati ya 150 Ambayo tumepanga kuizindua katika Jimbo hili.
Leo ikiwa ni siku ya nne toka tuanzishe..oparesheni delete Ccm ya katika Jimbo la urambo asubuhi ya leo tulikuwa ktk kata Vumilia tumepiga mikutano mitano na kuzindua misingi mitano katika vijiji vya uhuru,vumilia,motomoto,mlangale na chameleon na Baadae jioni tukamalizia mkutano urambo mjini ktk viwanja vya mwananchi square tukiongozwa na Kamanda Samwel Ntakamulena, Leonald Mapolo(watiania ubunge urambo) Julius J Mwita (mwenyekiti jimbo) na makamanda wengine
Kesho tutakuwa kata ya ukondamoyo
Hakuna kulala mpaka ukombozi wa Taifa hili upatikane
Manawa Bukwimba Shytown
Asante kamanda kwa taarifa.....ila majina ya Watia Nia umeyakosea....huyo siyo Leonard anaitwa DERRICK LUHENDE mjukuu wa T.S.Mapolu na huyo mwingine ni SAM NTAKAMLENGA...hapo sawa....CCM Urambo sasa basiiiiiiii...
CCM lazima tumbo la kuhara liwashike, ukawaaaaaaaa