Duh Opa kipenzi changu..[emoji24] yangu imekua kama karandinga nyang'anyang'a wahuni sio watu wallah,ningekua vema ningejipoza na hili chuma ila 7 ntaitoa wapi mie mweeeeee.

[emoji23][emoji23][emoji23] sukari kweli kiboko nasikia watu wanatoa mahari sugar.
Samahani sana mwenye uzi hii inatokea ila changamsha genge uleta wateja.