halafu kuna wanawake wana ujasiri wa kipuuzi, kubandika nyusi na kuvaa contact lens kwa ajili ya urembo
yametokea kinondoni,mwanamke kenda kubandika nyusi,msusi kwa ubahili wake badala ya kutumia gundi yake maalum kambandikia superglue,mama kilio,kwenda ccbrt kafanyiwa operesheni ya kutoa gundi,kumbe gundi ilishaharibu macho,kawa kipofu.
Angalizo: kinamama chungeni sana mnapoamua kuongeza makalio,kutia mkorogo,kuongeza nyusi,kurefusha kucha.....na mengine sisemi ni ya siri......
unajua wadada wanajikoki hivo kwa sababu ya wanaume, maana wanaume siku hiz kuwapata ni kwa manatiMtu unajiuliza kinachowafanya dada zetu wajihangaishe kiasi hicho... Unakuta mtu ni mzuri tu lkn kajichakachua weee hadi kawa kama katuni.
kuvaa contact lens na kuvaa tampons ni vitu ambavyo naona ni majasiri ndio wanaweza kufanya hivyo,mie nawaheshimu sana mie siwezi walahi.....
jamani wanawake wenzangu mbona tu wazuri kwa jinsi tulivoumbwa madude yote hayo ya nini!
urembo chauro. Sasa urembo unapogeuka urimbo na shughuli inapoanza!
halafu kuna wanawake wana ujasiri wa kipuuzi, kubandika nyusi na kuvaa contact lens kwa ajili ya urembo