hiyo tu ndio unayoijua
Hahahahaaa Bishanga naamini huu ujumbe haunihusu eeeehHumu cc kuna watu wanatongoza mke wangu kipenzi,wanatongoza mahawara zangu,vimada wangu,nyumba zangu ndogo,wanatongoza ma concubine wangu,mistresses wangu,last warning ole wako uendelee na mchezo huo mchafu,hivi ninavyoongea niko maeneo ya Goma nimeelekekezwa kwa fundi anaitwa mbamba zimbolola wa bambate,ye kazi yake ni moja tu kuhamisha kikojoleo cha mtuhumiwa na kukibandika usoni.
Wabaya wangu mnajifahamu kwa sura na majina......i am watching you!!!!
Cc Baba V na Mama v.
Unatamani?........funguka tu dear!
There are currently 4 users browsing this thread. (2 members and 2 guests)
Mambo wife.
Mzee Ruttashobolwa,kha!